Record Details

Utunzaji wa rutuba ya udongo katika halmashauri ya wilaya ya Babati Mwongozo kwa vitendo unaohusu utekelezaji wa kanuni bora za kilimo kupitia mifumo ya kilimo kwa wakulima wadogo

CGSpace

View Archive Info
 
 
Field Value
 
Title Utunzaji wa rutuba ya udongo katika halmashauri ya wilaya ya Babati Mwongozo kwa vitendo unaohusu utekelezaji wa kanuni bora za kilimo kupitia mifumo ya kilimo kwa wakulima wadogo
 
Creator Kihara, Job Maguta
Kinyua, Michael
Massawe, Prosper
Kyekaka, Jetrida
 
Subject agricultural practices
smallholders
pest control
farming systems
soil fertility
prácticas agrícolas
pequeños agricultores
control de plagas
 
Description Tumegundua mapungufu mengi ya mavuno katika mashamba ya wakulima na tumepata uzoefu wa changamoto muhimu zinazowakabili wakulima wakati tulipokuwa tunafanya kazi katika mashamba yao, maonyesho kupitia siku ya wakulima, tathmini ya teknolojia shirikishi, ziara za kubadilishana uzoefu na pia kutumia mikutano ya kujadiliana na wakulima. Mavuno mengi yaliyopatikana kutoka kwenye mashamba ya mkulima mmoja mmoja, watafiti kupitia mashamba ya majaribio/ maonyesho na wakulima kujifunza kupitia siku ya wakulima yameonyesha wazi mafanikio ya mavuno kwa wakulima kutokana na kutumia kilimo kinachozingatia Kanuni bora za Kilimo tofauti na wakulima wasiotumia kanuni bora za Kilimo. Matokeo haya mazuri ndiyo yaliyosababisha kuandaliwa kwa mwongozo huu.
 
Date 2022-05
2022-05-11T07:49:54Z
2022-05-11T07:49:54Z
 
Type Manual
 
Identifier Kihara, J.; Kinyua, M.; Massawe, P.; Kyekaka, J. (2022) Utunzaji wa rutuba ya udongo katika halmashauri ya wilaya ya Babati Mwongozo kwa vitendo unaohusu utekelezaji wa kanuni bora za kilimo kupitia mifumo ya kilimo kwa wakulima wadogo. Nairobi (Kenya): International Center for Tropical Agriculture (CIAT). 54 p.
https://hdl.handle.net/10568/119507
 
Language sw
 
Relation https://hdl.handle.net/10568/119280
 
Rights CC-BY-4.0
Open Access
 
Format 54 p.
application/pdf